LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 17, 2021

RAIS SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI BURUNDI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili nchini  akitokea nchini Burundi leo, Julai 17, 2021 baada ya ziara yake ya siku mbili nchini humo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages