LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 25, 2021

RAIS MSTAAFU KIKWETE AFIKA KUWAFARIJI SHULE YA KIWANGWA ILIYOUNGUA

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati) akiwasili katika Shule ya Wasichana ya Kiwangwa, Chalinze mkoani Pwani ambayo iliungua moto ambapo yeye na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge (kushoto) na mbunge wa Jimbo hilo, Ridhiwani Kikwete (aliyevaa nguo nyeupe) walikwenda kuwafariji na kutoa misaada.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages