LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2021

MBUNGE JERRY SILAA AZINDUA RASMI BONANZA LA KLABU YA VIJANA WA UKONGA YA PAMBANA FASAHA, AAHIDI KUWA NAYO BEGA KWA BEGA KUKUZA VIPAJI NA UJASIRIAMALI


Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga jijini Dar es Salaam ya kukuza vipaji na Ujasiriamali ya Pambana Fasaha Winfrida Bura akimkabidhi risara ya Klabu hiyo Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa, wakati wa Uzinduzi rasmi wa Bonanza la Klabu hiyo uliofanywa na Mbunge huyo katika Viwanja vya Pambana Fasaha, Ukonga Magereza jijini Dar es Salaam. Hata hivyo Winfrida hakuwa kuisoma risala hiyo kutokana na muda wa Mbunge Silaa kuisha kuwepo hapo kutokana na kutingwa na majukumu mwengine, badala yake aliahidi kwenye kuisoma na kuahidi kuyafanyika kazi anatakayoyasoma. Katikati ni Diwani wa Ukonga Bendera Ramadhani na Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembe Makuti Ukonga Mbaraka Mohammed.
Baadhi ya wananchi wakimbiri Mbunge Silaa kuwasili kwenye Uzinduzi wa Bonanza hilo.
Mbunge wa Ukonga Jerey Silaa akisalimia baadhi ya wananchi kwa furaha baada ya kuwasili Uwanjani kuzindua Bonanza hilo.
Mbunge wa Ukonga Silaa akiendelea kuonyesha furaha yake baada ya kuwasili kuzindua Bonanza hilo.
Mbunge Silaa akimsalimia Mwenyekiti wa Shina la CCM mtaa wa Magereza Kota Felix Singano kwenye Bonanza hilo.
Mwenyekiti huyo akifanya utambulisho wa baadhi ya viongozi na waalikwa kwenye Bonanza hilo.
 Diwani wa Ukonga Bendera Ramadhani  akimtamblisha Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga ya Pambana Fasaha Winfrida Bura kwa Mbunge Silaa na Wananchi kwenye uzinduzi wa Bonanza hilo.
Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga ya Pambana Fasaha Winfrida Bura akisoma risara ya Klabu hiyo mbele ya Mgeni rasmi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa, wakati wa Uzinduzi rasmi wa Bonanza la Klabu hiyo uliofanywa na Mbunge huyo katika Viwanja vya Pambana Fasaha, Ukonga Magereza jijini Dar es Salaam. 
Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga ya Pambana Fasaha Winfrida Bura akimkabidhi risara ya Klabu hiyo Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa, wakati wa Uzinduzi rasmi wa Bonanza la Klabu hiyo uliofanywa na Mbunge huyo katika Viwanja vya Pambana Fasaha, Ukonga Magereza jijini Dar es Salaam. 
Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa, akizungumza wakati wa kuzindua rasmi wa Bonanza la Klabu hiyo uliofanywa na Mbunge huyo katika Viwanja vya Pambana Fasaha, Ukonga Magereza jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Soka wa timu mbalimbali walioshiriki michuano ya uzinduzi rasmi wa Bonanza hilo, wakimsikiliza Mbunge Silaa.
Baashi ya viongozi wa Chama na serikali katika Jimbo la Ukonga wakiwa kwenye uzinduzi wa Bonanza hilo.
Mbunge Silaa na viongozi wa Pambana Fasaha wakiwa katika picha ya pamoja na timu ya soka ya Pambana baada ya kuzindua Bonanza hilo
Mbunge Silaa na viongozi wa Pambana Fasaha wakiwa katika picha ya pamoja na timu ya soka ya G. Unit baada ya kuzindua Bonanza hilo.
Mbunge Silaa na viongozi wa Pambana Fasaha wakiwa katika picha ya pamoja na timu ya soka ya Bondeni baada ya kuzindua Bonanza hilo.
Mbunge Silaa na viongozi wa Pambana Fasaha wakiwa katika picha ya pamoja na timu ya soka ya Upendo baada ya kuzindua Bonanza hilo
Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa akiagana na Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga ya Pambana Fasaha Winfrida Bura baada ya kuzindua rasmi Bonanza la Klabu hiyo katika Viwanja vya Pambana Fasaha, Ukonga Magereza jijini Dar es Salaam.

Zifuatazo ni mmenyano wa timu mbalimbali zilizoshiriki mechi za uzinduzi rasmi wa Baonanza hilo.👇










Mmoja wa mashabiki wa soka waliohudhuria uzinduzi wa Bonanza hilo Sharifa Mpondomoko akiwa katikati ya wachezaji wa timu ya soka ya wananwake ya TanZebras FC
Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga ya Pambana Fasaha Winfrida Bura (aliyesimama kushoto) akiwa na wachezaji wa timu ya Pambana FC
Vijana walipoza tumbo baada ya michuano
Mwenyekiti wa muda wa Klabu ya Vijana wa Ukonga ya Pambana Fasaha Winfrida Bura akiwagawia chakula wachezaji
Baahi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Bonanza hilo
©CCM Blog/Bashir Nkoromo/2021

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages