Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa mradi wa njia kuu ya umeme wa kilovoti 132 unaotoka Tabora kwenda Kigoma katika eneo la Nguruka Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali mara alipowasili katika eneo la Nguruka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma kuweka jiwe la msingi mradi wa Njia Kuu ya Umeme kutoka Tabora kwenda Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Akipokea maelezo ya mradi kutoka kwa Meneja wa mradi wa Njia wa njia kuu ya kusambaza umeme wa kilovoti 132 kutoka Tabora – Kigoma Mhandisi Neema Mushi wakati wa uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa mradi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi wa Kigoma eneo la Nguruka Wilaya ya Uvinza mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa njia kuu ya kusambaza umeme wa kilovoti 132 kutoka Tabora kwenda Kigoma Julai 15, 2021.
PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇