LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 15, 2021

MAJALIWA AZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA MOROCCO

 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakja wakati, alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex) , Nchini Morocco Julai 15,2021.

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakjaa wakati alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex) kuona uwekezaji wa miundombinu ya mpira wa miguu uliofanywa katika eneo hilo Nchini Morocco Julai 15,2021.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Miundombinu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Hassan Kharbouch kuhusu uwekezaji wa miundombinu ya mchezo wa mpira wa miguu katika Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco  wakati alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex)Nchini Morocco Julai 15,2021.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea jezi ya timu ya taifa ya Morocco kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakjaa wakati alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex) kuona uwekezaji wa miundombinu ya mpira wa miguu uliofanywa katika eneo hilo Nchini Morocco Julai 15,2021.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages