Katibu Mkuu wa CCM, Comrade Daniel Chongolo akiwaongoza viongozi na
wanachama wa Ccm kupunga mikono wakati Rais wa Zimbabwe, Mnangagwa
akitoa salamu za Zanu PF kwa njia yamtandao katika Mkutano wa Cha Chama
cha Kikomunisti cha China cha CPC na vyama rafiki vya siasa Duniani
wakati wa maadhimisho ya miaka 100 ya Chama hicho leo. Kwa upande wa
Tanzania Mkutano huo umefanyika katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu
Julius Nyerere Kibaha, Pwani Juni 6,2021.
Comrade Chongolo akihutubia wakati wa maadhimisho hayo na kuelezea historia na urafiki wa nchi hizo.
Katibu wa NEC, Siasa na Mambo ya Nje wa CCM, Kanali mstaafu Ngamela Lubinga akizungumza kabla ya kumkaribisha Kaibu Mkuu wa CCM, Chongolo kuhutubia..Baadhi ya maofisa wa Ubalozi wa China nchini
Comrade Chongolo akiandika mambo muhimu wakati Rais wa China,Xi Jinping akihutubia kwa njia ya mtandao kuhusu maadhimisho hayo. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Christina Mndeme.
Baadhi ya wanaccm wakiwa kwenye mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Your Ad Spot
Jul 7, 2021
Home
featured
Kimataifa
KATIBU MKUU WA CCM, CHONGOLO ALIVYOONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA CHAMA CHA CPC CHA CHINA
KATIBU MKUU WA CCM, CHONGOLO ALIVYOONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA CHAMA CHA CPC CHA CHINA
Tags
featured#
Kimataifa#
Share This
About Richard Mwaikenda
Kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇