Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania timu ya Yanga imetinga hatua ya Fainali ya Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation baada ya kuichapa bao 1-0 Biashara United katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Mjini Tabora.
Shujaa wa Yanga ni Mshambuliaji Yacouba Songne aliwanyanyua mashabiki wake dakika ya 22 akipokea pasin safi toka Fei Toto.
Kwa matokeo hayo Yanga wanasubiri mshindi kati ya Simba na Azam FC wanaocheza kesho uwanja wa Majimaji mjini Songea.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇