Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amesema kuwa Sekta ya Kilimo inatia huruma, hivyo "Tuitendeee haki Tanzania kwa kuitengea bajeti nzuri".Pia ameishauri serikali kuita wawekezaji wazuri kwenye sekta ya kilimo.
Mwanyika ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma Juni 17,2021.
Mdau pamoja na mambo mengine aliyochangia, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, upate mwanga zaidi wa alichoishauri serikali....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda,
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇