Rais Sa.ia Suluhu Hassan akitoa heshima zake kwa mwili wa aliyekuwa mwasiasa siku nyingi na Kada wa CCM, Mzee Chrisant Mzindakaya, wakati wa shughuli ya kuuaga mwili huo, leo katika Kanisa Katoliki la St. Peters, Oysterbay jijini Dar es Salaam.Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo ya kuuaga mwili wa marehemu Mzee Mzindakaya.
Your Ad Spot
Jun 9, 2021
Home
featured
Kitaifa
RAIS SAMIA AONGOZA KUAGwA MWILI WA MZEE MZINDAKAYA KATIKA KANISA KATOLIKI LA ST. PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
RAIS SAMIA AONGOZA KUAGwA MWILI WA MZEE MZINDAKAYA KATIKA KANISA KATOLIKI LA ST. PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇