Mchezaji wa timu ya soka ya Bunge (jezi nyeusi) akiuchukua mpira mbele ya mchezaji wa Timu ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo Juni 19, 2021 kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taswa wameibuka kidedea kwa magoli 5-1. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Your Ad Spot
Jun 19, 2021
MTANANGE WA BUNGE SPORTS NA TASWA FC DODOMA
Tags
featured#
Michezo#
Share This
About Richard Mwaikenda
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇