Jun 7, 2021

MBUNGE SHALLY AITAKA SERIKALI KUBORESHA BARABARA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuishauri serikali kuboresha barabara zilizopo kwenye hifadhi za Taifa ukiweo Mlima Kilimanjaro ili kuinua pato la Taifa kupitia Utalii.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Shally akitoa mchangao wake huo....


Imeandaiwa na Richard Mwaikenda

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages