LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 16, 2021

MACHIFU WATINGA BUNGENI DODOMA LEO

Machifu kutoka mikoa mbalimbali wakitambulishwa walipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dodoma kujifunza mwenendo wake. 

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na machifu kutoka mikoa mbalimbali nchini waliotembelea Bunge Dodoma leo Juni 16, 2021.
Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson (katikati) akiwa na baadhi ya machifu wa kike.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja akizungumza na baadhi ya machifu waliotembelea Bunge.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa akjadiliana jambo na machifu hao. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages