LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 14, 2021

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAONGOZA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) akishiki Swala ya Eid katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubeir Ally. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


Waumini wa Dini ya Kiislamu wakishiriki Swala ya Eid iliyoswaliwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam mara baada ya Kuumaliza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani leo Mei 14, 2021. 




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na baadhi ya Viongozi mara baada ya Swala ya Eid. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Abubakar Kunenge
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubeir Ally akizungumza jambo mara baada ya Swala ya Eid.





Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya BAKWATA na Msemaji wa Rasmi wa Mufti. Sheikh Khamis Mataka akizungumza jambo mara baada ya Swala ya Eid iliyo Swaliwa leo Mei 14, 2021.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages