LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2021

RC MAKALLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI JAFFO, LEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Amos Makalla akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Suleiman Jaffo, ofisini kwake, leo. Jaffo amefanya mazungumzo mbalimbali hususani jitiada za kuboresha Mazingira Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages