LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 20, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA NA KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA NCHI HODHI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM,LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wa nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Uganda zikipigwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Nchi hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Uganda Yoweri Museveni akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Nchi hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini mkataba wa Tamko la Pamoja kati ya Tanzania na Uganda kuhusu utekelezaji wa pamoja Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Uganda Yoweri Museveni akitia saini mkataba wa Tamko la Pamoja kati ya Tanzania na Uganda kuhusu utekelezaji wa pamoja Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamkisikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula wakati akisoma maazimio ya Tamko la Pamoja kuhusu utekelezaji wa pamoja wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakiwa wameshika nyaraka za Tamko la pamoja kuhusu utekelezaji wa pamoja wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wanahabari waliohudhuria hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wanahabari waliohudhuria hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania) 

. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipiga makofi pamoja na viongozi wengine wa ndani na nje ya Nchi mara baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya hafla ya utiaji saini Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi Wakuu wa Vyombo  ya Ulinzi na Usalama mara baada ya hafla ya utiaji saini Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania). PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages