LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2021

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI NAMNA KUOKOA UCHUMI NA KUKABILIANA NA KORONA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa uchumi wa nchi za Afrika na kukabiliana na athari za ugonjwa wa Korona (Covid-19) kwa njia ya mtandao. Mkutano huo unaofanyika Paris nchini Ufaransa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages