LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 14, 2021

RAIS DK. MWINYI NA WAZIRI MKUU MAJALIWA WASHIRIKI SWALA YA EID EL FITR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar, leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Dini na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Eid El Fitry, ikisalishwa na Sheikh Rashid Salim Dau, katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Waumini wa Kiislam wakijumuka katika Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,  Abubakar Zubeir Ally katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye  Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.
Kadhi Mkuu, Sheikh Ali Muhiddini Mkoyogole akiongoza Swala ya Eid  kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.  Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa alishiriki katika Swala hiyo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu na Ikulu, Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages