LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 13, 2021

NAPE AKISAKA KURA ZA CCM KWA VIJANA NA KINAMAMA KIAINA NDANI YA JIMBO LA MUHAMBWE, LEO

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbunge wa Mtama mkoani Lindi, Nape Nnauye ameonesha kuwa na mvuto kwa Wapigakura na Wananchi kwa jumla katika Jimbo la Muhambwe, Wilayani Kibondo mkoani Kigoma. Pichani Nape akiwa katika furaha na wapigakura hasa vijana na kinamama, alipokuwa akipigwa nao picha za kumbukumbu baada ya kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, kwenye uchaguzi mdogo katika jimbo hilo la Muhambwe, leo. uchaguzi utafanyika Jumapili hii, Mei 16, 2021.







No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages