Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameihoji Serikali bungeni, ni lini Wananchi wa Idofi watalipwa fidia baada ya maeneo yao kuchuliwa na Serikali kwa ajili ya kujenga Mradi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Huduma (One Stop Centre).
Sanga aliulza swali hilo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kikao cha 29, Mei 17,2021 ambapo alijibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mwita Waitara.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Sanga akiwapigania wananchi wake kuhusu fidia na kujibiwa na Naibu Waziri, Waitara......
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇