Mbunge wa Busanda, Tumaini Magesa ameishauri Serikali kujenga Vyuo vya ufundi kila jimbo, kuongezewa shule za sekondari kila kata kuhimili ongezeko la wanafunzi kufuatia utoaji wa elimu bure na kuongeza Mtaala wa uadilifu shuleni alipokuwa akichangia bungeni Dodoma, mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Ndau naomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Magesa akitoa ushauri huo.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri wa Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇