Mbunge wa Nyang'wale, mkoani Geita, Hussein Hassan ameishauri Serikali iweke mpango rasmi wa kuwakopesha wachimbaji wadogo wa madini waweze kununua zana za kisasa za uchimbaji kupunguza uharibifu wa mazingira na kuongeza kiwango cha upatikanaji wa madini kwa lengo la kuinua kipato chao pamoja na kuliingizia Taifa kipato kikubwa cha kodi.
Mbunge huyo ametoa ushauri huo wakati akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Madini bungeni Dodoma mwishoni mwa wiki. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ambapo pamoja na mambo mengine, Mbunge ametoa ushauri huo...... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM ,0754264203 Your Ad Spot
May 4, 2021
Home
featured
Madini
KOPESHENI WACHIMBAJI MADINI WAINUE KIPATO, ATHARI ZA MAZINGIRA- ZIPUNGUE- MBUNGE NASSOR+video
KOPESHENI WACHIMBAJI MADINI WAINUE KIPATO, ATHARI ZA MAZINGIRA- ZIPUNGUE- MBUNGE NASSOR+video
Tags
featured#
Madini#
Share This
About Richard Mwaikenda
Madini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇