Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Nnauye akimnadi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi kwenye mkutano uliofanyika jimboni humo, jana Mei 12, 2021.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye akisakata rhumba na mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi wakati alipomnadi kwenye mkutano uliofanyika jimboni humo jana, Mei 12, 2021.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wapiga kura wa Jimbo hilo mara baada ya kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi kwenye mkutano uliofanyika jimboni humo jana Mei 12, 2021.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo uliofanyika jana jimboni humo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇