LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2021

KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA WANG KE, LEO JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, Balozi huyo alipofika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akinukuu mambo muhimu wakati alipokuwa akifanya mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke,
 Balozi huyo alipofika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo. kwa ajili ya kuaga na kushukuru kwa ushirikiano alioupata katika utumishi wake. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme ambaye pia ameshiriki katika mazungumzo hayo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages