LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2021

JANETH MAHAWANGA AIBANA SERIKALI BUNGENI KUHUSU USALAMA PEMBEZONI MWA DAR ES SALAAM+video

 

Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Mahawanga amehoji bungeni Dodoma Mei 17, 2021, Je Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto ya huduma kipolisi katika maeneo ya pembezoni mwa Miji ukiwemo Mkoa wa Dar es Salaam?

Mbunge huyo alihoji wakati wa kikao cha maswali na majibu ambapo alijibiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mdau, nakuomba uendeee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mahawanga akiuliza swali hilo na majibu aliyojibiwa....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages