LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 22, 2021

WASANII WA TAMTHILIA BORA AFRIKA YA JUAKALI INAYORUSHWA DSTV WATAMBULISHWA BUNGENI+video

Wasanii waliofanikisha ushindi wa Tamthilia hiyo wakiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma, baada ya kutambulishwa bungeni Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

 Wasanii waigizaji na waongozaji wa Tamthilia ya Juakali inayorushwa DSTV ambayo imepata ushindi kuwa Tamthilia Bora Afrika katika mashindano yaliyofanyika nchini Zambia, wakielezea furaha yao baada ya kupata heshima ya kutambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip ya video hii baadhi ya walioshiriki kufanikisha ushindi huo wakielezea furaha yao baada ya kutambulishwa bungeni Dodoma.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages