LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 16, 2021

VIJIJI 138 KATAVI KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAJI ITAKAYOKAMILIKA JUNI 2021-NAIBU WAZIRI MAHUNDI+video




Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswaii na majibu bungeni Dodoma Aprili 16, 2021, ambapo amemjibu Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Martha Maliki kuwa vijiji 138 vitanufaika na miradi ya maji inayotarajiwa kukamilika Juni 2021 mkoani humo. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Naibu Waziri Mahundi akijibu kiufasaha maswali ya wabunge kuhusu ufumbuzi wa changamoto za maji katika Mkoa wa Katavi na Tanzania kwa ujumla... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages