LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 8, 2021

SERIKALI YASEMA TELEVISHENI ZA MTANDAONI NDIZO ZITAKAZOFUNGULIWA

       Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amefafanua taarifa ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kuhusu kufunguliwa kwa vyombo vya habari vilivyofungiwa.

Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online Tv) tu ndio zifunguliwe na sio vyombo vya habari vingine yakiwemo Magazeti yaliyofungwa kwa mujibu wa Sheria.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages