Balozi wa Israel Oded Joseph (kulia) akipanda mti wa mparachichi katika shamba darasa la kilimo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Mahenge akipanda mti wa parachichi katika shamba hilo
CEO wa Water 4 Mercy, Nermine akipanda mparachichi
Meneja Mradi kutoka Taasisi ya Cultiv Aid ya Israel, David Zuckerman akitoa maelezo kuhusu mfumo maalumu wa maji ya kumwagilia kwenye shamba hilo.
Bwawa la kuhifadhia maji ya kumwagilia mazao shambani.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge na Balozi wa Israel, Joseph na viongozi wengine wakikagua shamba darasa hilo.
Wakiangalia pampu ya kusukuma maji ya kumwagilia kwa kiwango maalumu kwenye kwenye mashamba
Dkt. Binilith akitoka kukagua pampu
Dkt. Mahenge akikagua shamba
Zuckerman akielezea jinsi pampu inavyofanya kazi ya kuruhusu kiasi cha maji ya kumwagilia kwa njia ya matone na sprinkler
Wanafunzi wakiwa kwenye matuta ya mazao yanayomwagiliwa kwa njia ya matone
Mwanafunzi akielezea jinsi wanavyomwagilia kwa kutumia matone na sprinkler.
Vitalu nyumba vilivyopo kwenye shamba hilo
Balozi Joseph akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa kozi ya kilimo katika chuo hicho.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Donbosco, Boniface Mchami akielezea kozi mbalimbali zinazopatikana kwenye chuo hicho chenye wanafunzi zaidi ya 800.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kozi ya Kilimo chuoni hapo.
Balozi Joseph akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Mahenge.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Mkuu wa Chuo cha Ufundi Donbosco, Mchami akielezea pamoja na mambo mengine jinsi kozi hiyo ya kilimo itakavyokuwa inawafufaisha wanafunzi na jamii kwa ujumla...
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇