LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 20, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA NDUGAI, IKULU JIJINI DODOMA, LEO KUZUNGUMZA NAYE, IKULU JIJINI DODOMA, LEO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai, Ikulu jijini Dodoma, leo Aprili 20, 2021.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Jijini Dodoma. (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages