LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 22, 2021

RAIS SAMIA ALITUHUBIA BUNGE JIJINI DODOMA, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge kwa mara ya kwanza jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge kwa mara ya kwanza jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai

Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na  Ali Hassan Mwinyi (kushoto), Jakaya Kikwete (wa pili kushoto. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu mstaafu, Samwel Malecela na Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume.
Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud na Makamu wa Pili wa Ris wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge kwa mara ya kwanza jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai
Rais Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwenye viwanja vya Bunge alipokwenda kulihutubia Bunge jijini Dodoma
Wabunge na wageni waalikwa wakiwa wamesimama kumuombea dua  Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli
Rais Samia Suluhu Hassan akiongozwa na Spika wa Bunge kuingia bungeni Dodoma  tayari kulihutubia bunge kwa mara ya kwanza tangu aapishwe kushika wadhifa huo baada ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli kufariki Dunia.
Baadhi ya wakuu wa wilaya wakiwa wamesiamama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa bungeni kabla Rais Samia kuanza kuhutubia 
Wageni waalikwa wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Wageni waalikwa wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Hali ya Bungeni wakati Rais Samia akilihutubia Bunge leo.( Picha zote na Richard Mwaikenda).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages