Apr 13, 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Ndege ya Shirika la Ndege ATCL mara baada ya kuwasili jijini Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Marubani pamoja na Wahudumu wa Ndege ya Shirika la Ndege ATCL mara baada ya kuwasili jijini Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge pamoja na viongozi wengine waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili jijini Dodoma leo tarehe 13 Aprili, 2021.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages