LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 7, 2021

RAIS DK. MWINYI AENDA MSUMBIJI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA SADC

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwaaga Meya wa Jiji la Zanzibar  Mahmoud Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakati akienda Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, leo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages