Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi amekubali ombi la Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kwenda katika jimbo hilo kuzitafutia ufumbuzi changamoto za ukosefu wa maji.
Naibu waziri alikubali ombi hilo alipokuwa akijibu swali la Mbunge Maganga bungeni Aprili 14, 2021 ambapo pamoja na mambo mengine alimuomba ambatane naye jimboni akajionee jinsi wananchi wanavyopata adha ya kusaka maji. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia kwenye clip hii ya video, Naibu Waziri akilikubali ombi hilo na kuwakosha wabunge kwa majibu yake mazuri ya utatuzi wa chamngamoto za maji... Imeandaliwa na Richard MwaikendaMhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇