Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa Bupe Mwakang'ata ameiomba serikali kutafuta wawekezaji makini wa Herium wenye uwezo wa kusaidia maendeleo ya wananchi walo karibu na maeneo yanapochimbwa. Madini hayo yanapatikana kwa wingi ukanda wa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa. Ametoa maombi hayo wakati wa kuchangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Madini, Bungeni Dodoma Aprili 29,2021. MDAU NAKUOMBA UENDELEE KUSIKILIZA CLIP HII YA VIDEO, MBUNGE MWAKANG'ATA AKIISHAURI SERIKALI JUU YA SUALA HILO PAMOJA NA MAMBO MENGINE
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇