LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 21, 2021

MBUNGE MWAKANG'ATA AHOJI BUNGENI NI LINI BARABARA YA KILANDO HADI KORONGWE RUKWA ITAKAMILIKA?-video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (pichani) ameihoji Ofisi ya Rais (TAMISEMI), kuwa ni lini Barabara ya kutoka Kilando-Katete- Katovu hadi Korongwe wialaya ya Nkasi itakamilika?

Mwakang'ata ameuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 21, 2021. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwakang'ata akiiipambania barabara hiyo huku akijibiwa na Naibu Waziri wa Tamisemi, David Silinde.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages