LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 20, 2021

MBUNGE MPAKATE AIOMBA SERIKALI KUIGAWA WILAYA YA TUNDURU KUWAPUNGUZIA USUMBUFU WANANCHI+video



 Mbunge wa Tunduru Kusini, Daimu Mpakate ameiomba Serikali kuigawa Wilaya ya Tunduru ili kurahisisha masuala ya utawala na kuwapunguzia usumbufu wananchi wanaosafiri umbali mrefu kufuata huduma Makao Makuu ya Wilaya.

Mpakate ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia bajeti ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) bungeni Dodoma le nao Aprili 20,2021. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mpakate pamoja na mambo mengine akielezea umuhimu wa uwepo wa kugawa wilaya hiyo iliyoanzishwa na wakoloni 1905. Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264202

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages