LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 3, 2021

MBUNGE ASSENGA ATETA NA WAZIRI MKUU, MAJALIWA ANUSURU ATHARI ZA MAFURIKO KILOMBERO

Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Abubakar Assenga (katikati) akimueleza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma juzi kuhusu athari za mafuriko kutokana na mto Lumemo kujaa na kusababisha athari kubwa kwa wakazi wa jimbo hilo pamoja na miundombinu ya barabara kuharibika.Kushoto ni Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamis Taletale.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video Mbunge Assenga akielezea athari za  mafuriko hayo na msaada alioomba kwa Waziri Mkuu, Majaliwa ii Serikali isaidie.....


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages