Mama mzazi wa IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.
Akithibisha, Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Gabriel Mukungu amesema msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇