LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 6, 2021

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AHUDHURIA KUAPISHWA MAKATIBU WAKUU NA MAKAMISHNA

 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Viongozi na Watendaji mbalimbali kwenye Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Makamishna wa Taasisi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo April 06,2021 amehudhuria Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Makamishna wa Taasisi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages