LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 5, 2021

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AWAPA FARAJA WATOTO, WAZEE NA WENYE MAHITAJI MAALUM JIJINI DODOMA, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akiwa amembeba Mtoto Gilbert  Mezi ( 11) anaelelewa katika Kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity Hombolo mkoani Dodoma, alipofika katika Kituo hicho leo Aprili 5, 2021 kwa ajili ya kuwapa faraja kwa kuwapa Chakula, Vinywaji na Fedha Taslim kwa ajili ya Sikuu ya Pasaka.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Jenisia  Mpango, akiwa amembeba mtoto Gilbert  Mezi (11) anaelelewa katika Kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity Hombolo Dodoma wakati yeye na mumewe walipofika katika Kituo hicho leo Aprili 5, 2021 kwa ajili ya kuwapa faraja kwa kuwapa Chakula, Vinywaji na Fedha Taslim kwa ajili ya Sikuu ya Pasaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akimfurahia Ali Mwaka (1) anaelelewa  katika Kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity Hombolo Dodoma alipofika katika Kituo hicho leo Aprili 5, 2021 kwa kuwapa faraja kwa kuwapatia Chakula, Vinywaji na Fedha Taslim kwa ajili ya Sikuu ya Pasaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango na Mkewe Mama Jenisia  Mpango wakiwaangalia Watoto  wanaolelewa katika Kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity Hombolo, Dodoma walipofika katika Kituo hicho leo Aprili 5, 2021 kwa ajili ya kuwapa faraja kwa kuwapatia Chakula, Vinywaji na Fedha Taslim kwa ajili ya Sikuu ya Pasaka. Kushoto ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Watoto wa Yesu Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Nzinje Dodoma Padri Binoy Thomas.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akikabidhi Vifaa mbalimbali na fedha taslimu Sh. Milioni 5 kwa Sister  Prodencia wa Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Watoto wa Yesu Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Nzinje Dodoma, kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka kwa Watoto Yatima, Wazee na Watu wenye Mahitaji Maalum  wanaotunzwa katika Kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity Hombolo Dodoma leo April 5, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akizungumza jambo na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Watoto wa Yesu Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Nzinje Dodoma Padri Binoy Thomas, baada ya kumalizika Ibada ya Misa Takatifu ya Jumatatu ya Pasaka leo April 05, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango na Mkewe Mama Jenisia Mpango, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Watoto wa Yesu Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Nzinje Dodoma Padri Binoy Thomas na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, wakiwa katika Picha ya pamoja baada ya kumalizika Ibada ya Misa Takatifu ya Jumatatu ya Pasaka leo April 05, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na  Mkewe Mama Jenisia  Mpango wakiwa  katika Picha ya Pamoja na Watoto, wenye Mahitaji Maalum, alipofika katika Kituo hicho leo Aprili 5, 2021 kwa ajili ya kuwapa faraja kwa kuwapatia Chakula, Vinywaji na Fedha Taslim kwa ajili ya Sikuu ya Pasaka. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages