Rais Samia Hassan na viongozi wa chama meza kuu wakiwa wamesimama kumkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais, Hayati Dk. John Magufuli, kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Jijini Dodoma, leo. Baaa ya Rais ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
Kikao kikiendela


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇