Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) limefanya uteuzi wa Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa Makadhi na Makatibu wa Mabaraza ya Masheikh wa mikoa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Msemaji wa Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania , Sheikh Khamisi Mataka amesema uteuzi huo umefanywa na Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha jana Aprili 4, 2021 kilichofanyika jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana.
Sheikh Mataka ambaye aliambatana na Katibu Mkuu wa BAKWATA Alhaj Nuhi Mruma na Katibu wa Mufti sheikh Mussa Hemedi alisema, Masheikh wa mikoa wameteuliwa kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(6) ni ni wafuatao;
01. DAR ES SALAAM - ALHAD MUSA SALIM
02. ARUSHA - SHABANI JUMA
03. KILIMANJARO - MLEWA SHABANI KIMWAGA
04. DODOMA - MUSTAFA RAJABU
05. LINDI - MOHAMMED SAID MUSHANGANI
06. MANYARA - MOHAMMED KADIDI
07. MARA - MSABAHA KASIM NGABO
08. GEITA - ALHAD YUSUPH KABAJU
09. MTWARA - NURDIN MANGOCHI
10. SINGIDA - SHEIKH SALUM .M. MAHAMI
11. TANGA - ALI JUMA LUWUCHU
12. KAGERA - HARUNA KICHWABUTA
13. RUKWA - RASHID AKILIMALI
14. TABORA - IBRAHIMU MAVUMBI
15. NJOMBE - RAJABU MSIGWA
16. SIMIYU - MAHMOUD KALOKOLA
17. SHINYANGA - ISMAIL HABIBU MAKUSANYA
18. SONGWE - HUSSEIN BATUZA
19. PWANI - ABBAS KHAMIS MTUPA
Wengine ambao wao waliteuliwa hivi karibuni ni
20. MWANZA - SHEIKH MUSSA HASSAN MUSSA KABEKE
21. KATAVI - SHEIKH MASHAKA NASSORO KALULUKULU
Msemaji huyo wa Mufti amesema katika kikao hicho Baraza la Ulamaa limewakaimisha Masheikh wapya wa Mikoa mitatu ambao ni:-
22. RUVUMA - ALLY MAHABA
23. MBEYA - MSAFIRI AYASI NJALAMBAHA
24. IRINGA - SHEIKH SAID AL ABRI
Pia amesema wafuatao wataendelea kukaimu nafasi zao mpaka pale Baraza la Ulamaa litakapofanya uteuzi rasmi kwa Mikoa hiyo.
25. MOROGORO - SHEIKH TWAHA KILANGO na
26. SHEIKH IDDI HASSAN KIBURWA
MAKATIBU WA MABARAZA YA MASHEIKH
Msemaji huyo wa mufti amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake hicho cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(7) limefanya uteuzi wa Makatibu wa Baraza la Masheikh la Mikoa kama ifuatavyo:-
1. ARUSHA : SAID ABDALLAH CHUDI
2. KILIMANJARO : TAQDIR HAJJ MUHAMMED DHAHABU
3. DAR ES SALAAM. : ALLY SAID KIZEGERO
4. DODOMA. : BUNIAMINI ABASI ABDURABI
5. NJOMBE : USTADH. SAAD ALLY
6. MOROGORO : AJALI AHMED MLENGA
7. MWANZA : ALHAJI OTHMAN MASASI
8. LINDI :
9. MANYARA UST. MWINYI MASOUD RASHID
10. MARA : SALUM MOHAMED NYISUKA
11. GEITA : BAHARAN RAMADHANI SALUM
12. MTWARA : ABDULHAFIDH KASSIM
13. MBEYA : ABASI MSHAURI
14. SINGIDA : SHEIKH OMARY ABUBAKAR ALLY
15. TANGA : USTADH JUMA BAKARI
16. KAGERA : NAJIM MUSTAFA KHALID
17. KIGOMA : ALHAJI MAULID SANGI
18. IRINGA. : ABDULRAHIM NGOLE
19. PWANI : USTADH SALMIN AMMAR BUDAP
20. RUKWA : UST. MBEGU ABDALLAH HANGOLWA
21. SHINYANGA :
22. SIMIYU : HUSSEIN AHAMADI MBARUKU
23. KATAVI : SHEIKH MUSSA KHAMISI KAZIGE
24. TABORA : SHEIKH JABU SAID
25. RUVUMA :
26. SONGWE : SHEIKH ALLY MAMBEA
MAKADHI
Wakati huohuo Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84(13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:-
1. ARUSHA : SHEIKH RAJABU HASSAN KIUNGIZA
2. KILIMANJARO : SHEIKH HUSSEIN HAMISI CHIFUPA
3. DAR ES SALAAM : RAMADHANI SALUMU OMAR KITOGO
4. DODOMA. : SHEIKH KISUSU BIN MKUMBO MWAGONDA
5. MOROGORO : SHEIKH MUSA HARUNA BORINGO.
6. MWANZA : SHEIKH HAMISI ALMASI
7. MANYARA : SHEIKH JUMA ISERE
8. MARA : SHEIKH JUMA ADAMU
9. GEITA : SHEIKH ELIYASA SAID
10. MTWARA : SEIKH ABALLAH ALI HEMED
11. MBEYA : SHEIKH HASSAN MBARAZI
12. SINGIDA : SHEIKH SHABANI CHAMBILA MKANGA
13. KAGERA : SHEIKH MAULANA MBARAKA JUMA
14. KIGOMA : SHEIKH IDRISA ABDULMUHSIN KITUMBA
15. IRINGA. : SHEIKH ABUBAKAR CHALAMILA
16. PWANI : SHEIKH ZUBEIR RASHID
17. RUKWA : SHEIKH KHAMISI ISSA KIGEZI
18. TABORA : SHEIKH IBRAHIMU HAJI
19. KATAVI : SHEIKH MAJALIWA MRISHO
20. NJOMBE : SHEIKH ABDALLAH SWALEHE ABDALLAH
21. SIMIYU : SHEIKH ISSA KWEZI KIDAI
22. SONGWE : SHEIKH IDD KASSIM
Taarifa hiyo imesema Mikoa Minne (4) iliyobakia uteuzi wake utafuatia baadae.
MAKATIBU WA MAKADHI WA MIKOA
Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84 (13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:-
1. ARUSHA : SHEIKH MBARAKA MUSA MTONYI
2. KILIMANJARO : USTADH ISSA JUMA ISSA.
3. DAR ES SALAAM : SHEIKH ABDULKARIM PAZI.
4. DODOMA. : MOHAMED SENDORO
5. MOROGORO : USTADH SWALEHE KASIM LUKANDA
6. MWANZA : USTADH RAMADHANI KHAMISI
7. MANYARA : USTADH ADAM ISSA ZUBEIR.
8. MARA : KUDRA IBRAHIM MIGOZI
9. GEITA : HAMISI MRISHO MLEA
10. MTWARA : MUSSA HAMISI MWARABU
11. MBEYA : ALLY KHAMIS FURUKUTU
12. SINGIDA : BDALLAH TAKAZA
13. KAGERA MIKIDADI ABASI BANOBI
14. KIGOMA : MAJALIWA AHMAD KAGAMA
15. IRINGA. : USTADH ABDALLAH KHALID
16. RUKWA : USTADH ABDALLAH HASAN KATALANGO
17. TABORA. : ATHUMANI BAKAR KABOGOTA
18. KATAVI : SHEIKH OMAR SHABANI KABWIRI
19. NJOMBE : IDD AMANI GADAU
20. SIMIYU : KASSIM RAJABU MOHAMED
21. SONGWE : HUSSEIN JUMA
22. TANGA : USTADH ALLY SALEH
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇