LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 3, 2021

WAZIRI AWESO AWATAKA WATAALAM WA WIZARA HIYO KUTOJIFUNGIA MAOFISINI KWA KUWA NI LAZIMA KUACHANA NA MABOMBA YA TEKNOLOJIA YA KIZAMANI ILI KUENDANA NA YA KISASA


Na Bashir Nkoromo
Waziri wa Maji Juma Aweso amesema kuna haja sasa wataalamu wa Wizara hiyo wasijifungie maofisini  kwa kuwa teknolojia juu ya mambomba imebadilika sana hivyo ni lazima kuachana na teknolojia ya kizamani.

"Leo tumekuja hapa tumeona mabomba ya GRP mimi sijawahi kuyafahamu kama Waziri, lakini tumeyaona na tumeona ubora wake na uwezo wake wa kudumu, kwa hiyo tutoke sasa katika mabomba ya kizamani twende kwenye mabomba halisia yale ya kisasa kiteknolojia ili kuhakikisha miradi yetu tunaikamilisha kwa wakati na ubora ili kuhakikisha Watazania wanapata huduma ya maji safi na ya kutoshekeza.

Lakini kubwa sisi kama wizara ya maji tutawaunga mkono wenzetu wa viwanda kwa vitendo kuhamikisha kwamba mabomba yetu tunayapata kwa wakati na tunayatumia ambayo yanazalishwa hapa hapa nchini ili kuhakikisha miradi yetu tunaikamilisha kwa wakati", amesema Waziri Awezo, Tafdhali msikilize 'live', 
Bofya Hapo👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages