LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 30, 2021

WANAFUNZI SHULE YA RHEMA WAZIDI KUMLILIA HAYATI MAGUFULI, WATOA NENO KWA RAIS SAMIA+video

Wanafunzi wa Shule ya Rhema ya jijini Dodoma wanaomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli kwa kukumbuka mambo mengi aliyoifanyia Tanzania ikiwemo elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, ujenzi wa vituo vya afya, barabara huku wakitoa maoni yao kwa Rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan kwamba wanaamini atamalizia miradi yote waliyoianzisha na kufanya mambo mengine zaidi ya hapo.
Hayati Rais John Magufuli

Blair Ndimbo (13) darasa la 7
Dina Semindu (10), darasa la 4
Lily Msolla (11) darasa la 4
Mringi Morungu (11) darasa la 7
Brian Samwel (13) darasa la 7


 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video wanafunzi hao wakielezea jinsi walivyoguswa na msiba huo mkubwa pamoja na imani yao kwa Rais Samia....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages