LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 30, 2021

WANAFUNZI FOUNTAIN GATE WAELEZEA WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA HAYATI MAGUFULI, IMANI YAO KWA RAIS SAMIA+video

                    Hayati Dkt. Rais John Magufuli

                      Abdulyassir Jumanne (14) darasa la 7
                   Laura Kimario (13), darasa la 7
                Abbigail Dominico (12) darasa la 7

                   Faisal Jivanji (12) darasa la 7

Wanafunzi wa Shule ya Fountain Gate Dodoma wameelezea jinsi walivyoguswa na msiba mkubwa wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kutaja mambo mengi ya maendeleo aliyoyafanya kwa kipindiki fupi cha miaka mitano kama vile elimu bure kwa shule za msingi hadi kidato cha nne,  ujenzi wa SGR, ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere kule Rufiji, ununuzi wa ndege, zahanati na vituo vya afya pamoja na ujenzi wa barabara, lakini pia wameelezea imani yao kwa Rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan kwamba atayakamilisha yale yote waliyoyaanzisha na kufanya mambo mengi zaidi ya hapo.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video wanafunzi hao wakielezea jinsi walivyoguswa na msiba huo mkubwa pamoja na imani yao kwa Rais Samia....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages