LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 24, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR LEO 24-3-2021.

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusaini Kitabu cha maombolezi ya  kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza kusaini Kitabu cha maombolezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini Kitabu cha maombolezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, alipofika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo.24-3-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Kitabu cha maombelezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Maguful, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages