LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2021

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA KWA MARA YA KWANZA AKIWA RAIS, KESHO KUONGOZA UTOAJI HESHIMA KATIKA TUKIO LA MAZISHI YA KITAIFA YA DK. MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais, leo. Rais  Samia aongoza utoaji hesima na kuuaga mwili katika tukio la Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, kesho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais, leo. Rais  Samia aongoza utoaji hesima na kuuaga mwili katika tukio la Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, kesho.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages