LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 22, 2021

RAIS SAMIA AFUNGUKA KUHUSU WENYE MASHAKA KWAMBA HATAUWEZA URAIS KWA KUWA NI MWANAMKE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani akihutubia katika tukio la kutoa heshima za mwisho Kitaifa kwa Mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, leo, 

Rais Samia amesema "Kwa wale ambao wana mashaka kwamba Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye maumbile yake mi mwanamke". Tafadhali Msikilize, 
Bofya Hapo👇


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages