LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2021

RAIS SAMIA APOKEA MWILI WA JPM UWANJA WA NDEGE JIJINI DODOMA, LEO

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa JiJi la Dodoma kupokea Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ulipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo March 21,2021

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages