LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 20, 2021

RAIS SAMIA AONGOZA KUAGWA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK. MAGUFULI, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo March 20, 2021. Dk. amefariki Dunia Machi 17, 2021.
 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijifuta machozi yaliyomtoka wakati akitoa heshima kwa mwili ya aliyekuwa Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Machi 20, 2021. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa. 

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais Dk. John Magufuli likiwa limebebwa na Askari wa Jeshi la Ulinz la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wkulipeleka katika eneo la kuagia, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo.

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais Dk. John Magufuli likipelekwa  na Askari wa Jeshi la Ulinz la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wkulipeleka katika eneo la kuagia, katika Uwanja wa Uhuru jijini dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages